This archive report was first published on 6 August 2019.
Ugonjwa wa saratani umeibukia kuwa tishio kubwa humu nchini baada ya viongozi watatu wafariki hiyo maajuzi baada ya kuugua ugonjwa huo.
Wakati huo huo, kuna ujumbe wa kuunga mkono wale wanaougua saratani, kama vile familia ya Dorothy Mulei ambayo ilisimulia kwa TUKO.co.ke jinsi madaktari nchini India walikata tamaa ya kumuuguza jamaa wao huku wakisema kuwa alikuwa ameugua saratani ya damu kiwango cha kuwa hangepona.
"Disemba 8, figo yake ilidinda kufanya kazi huku mapafu nayo yakitolewa maji lita nane. Madaktari waliamini anafariki," Jeremiah alisema.
Jeremiah alisema kuwa alikata tamaa ya kumuuguza jamaa wao huku wakisema kuwa alikuwa ameugua saratani ya damu kiwango cha kuwa hangepona.
"Nina furaha sana kwani mimi ni mumewe mke ambaye alikuwa afariki lakini sasa yuko hai. Huwa namwambia kuwa hii ni nafasi nyingine katika maisha yake kwa sababu miezi michache alikuwa atuwache," alisema.
Jeremiah alisema kuwa alikata tamaa ya kumuuguza jamaa wao huku wakisema kuwa alikuwa ameugua saratani ya damu kiwango cha kuwa hangepona.
"Imewekwa katika akili za watu kuwa saratani ni tiketi ya kifo. Ni kweli saratani huua lakini unyanyapaa huwafanya wagonjwa kukata tamaa,"alisema Dorothy.