Mwanamke Mwenye Huzuni: Mumewe Alifariki Siku Tatu Baada ya Harusi Yao

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 5 August 2019.

Mwanamke mwenye huzuni alihadithia jinsi sherehe yake ya harusi iligeuka kuwa siku yake ya huzuni baada ya mumewe kufa maji siku tatu baada ya harusi yao.

Walikuwa wameoana tu kwa siku tatu wakati ambapo mumewe alikumbana na mauti.

Julai 31, 2019, Cheyenne Cottrell alikuwa akiwa amevunjika moyo akitoa taarifa kuhusu kifo cha ghafla cha mumewe.

Walikuwa wakisherehekea siku yao ya furaha katika Jimbo la Florida, Marekani.

"Sikujua ningekuwa mke kisha mjane nikiwa na miaka 22," alisema Cheyenne.

Alisema kuwa tukio hilo la huzuni limemwacha akiwa na uwoga mwingi na hata kushindwa atakacho fanya na maisha yake.

Ndoto yao ya kuishi pamoja maishani ilikatizwa ghafla baada ya kifo cha Dalton siku tatu baada ya harusi yao.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...