Bomet Deputy Governor Hillary Barchok Sworn in Five Days After Joyce Laboso's Burial

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 3 August 2019.

Naibu Gavana wa Kaunti ya Bomet, Hillary Barchok, ameapishwa rasmi siku 5 baada ya mazishi ya Gavana Joyce Laboso.

Alipokea uapishaji wake rasmi katika uwanja wa Bomet Green, saa nne asubuhi, Alhamisi, Agosti 8, 2019.

Laboso alifariki katika hospitali ya Nairobi mnamo Jumatatu, Julai 29, 2019.

Naibu Gavana Barchok ni mtaalamu katika masuala ya elimu na alikuwa muhadhiri katika vyuo vikuu mbalimbali kabla ya kujiunga na siasa na kukubali kuwa naibu wa Laboso wakati wa uchaguzi wa mwaka 2017.

Aliteuliwa kuwa mwanachama wa mamlaka ya malipo ya uzeeni (RBA) mnamo 2018.

Alipokea uapishaji wake rasmi siku 5 baada ya mazishi ya Laboso, kulingana na katiba, nafasi katika ofisi ya gavana ikibaki wazi, hutwaliwa na naibu wake katika muda uliosalia kwenye hatamu yake.

Alipokea uapishaji wake rasmi katika uwanja wa Bomet Green, saa nne asubuhi, Alhamisi, Agosti 8, 2019.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...