Gavana Ojaamong Ageuka, Asifu Raila Baada ya Kusema Ruto Tocha

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 31 July 2019.

Gavana wa Busia Sospeter Ojaamong amekuwa kinyonga kama ilivyo kwenye siasa za Kenya huku akigeuka siku chache tu baada ya kusema Naibu Rais William Ruto tosha kwenye siasa za 2022.

Alisema hilo wakati akihudhuria mkutano wa Ruto, kwamba yuko huru kuchagua marafiki wa kisiasa na hatatishwa na yeyote.

Alisema pia kuwa Raila Odinga ni mtu aliye na ujanja wa kipekee maishani, na amekuwa mwanasiasa wa kuwashangaza wengi kutokana na werevu wake kwenye ulingo wa siasa.

Aliongeza kuwa Raila sasa amekuwa kama mti mkubwa kwenye nchi ya Kenya ambao umewabeba ndege wengi, na ataendelea kutawala siasa za Kenya kwa miaka mingi ijayo.

Alisema hivyo wakati wa kushiriki katika mkutano wa Ruto, ambapo alisema pia kuwa Raila ni kiongozi ambaye haeleweki na marafiki pamoja na maadui wake wa kisiasa.

Alisema Raila ni mtu ambaye alizaliwa na akili za kipekee, na amekuwa mwanasiasa wa kuwashangaza wengi kutokana na werevu wake kwenye ulingo wa siasa.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...