Saratani ya Mfuko wa Mayai ya Uzazi: Kwa Nini Wanao Hatarini na Jinsi ya Kujikinga

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 30 July 2019.

Saratani ya Mfuko wa Mayai ya Uzazi: Kwa Nini Wanao Hatarini na Jinsi ya Kujikinga

Ugonjwa huu unaweza kusababisha vifo vingi nchini Kenya, na wanawake wengi hasa wanaoishi mashambani hufariki dunia pasipo kujua wanaugua saratani hii.

Wanawake wanao hatarini zaidi ya kuapata saratani hii ni wale wanao umri wa miaka 50 na zaidi, wanawake wenye saratani ya matiti, wanawake tasa, msichana anayepata hedhi katika umri mdogo, na wale wanao familia ambao amewahi kuugua ugonjwa huu.

Ingawa ni vigumu kupata takwimu kamili za akina mama wanaougua ugonjwa huu, ni muhimu kutembelea daktari kila mwaka kwa uchukuzi wa kina ili kuepuka ugonjwa huu.

Vyakula vinavyofaa ili kuzuia au kupunguza hatari ya kuapata saratani ya mfuko wa mayai ni ulaji wa mboga na matunda.

Wizara ya Afya ina jukumu la kuhakikisha inaweka kampeini za kudumu katika kuukabili au kuangamiza ugonjwa wa saratani nchini.

Ugonjwa huu ni wa tatu inayosababisha vifo vingi nchini Kenya, kulingana na takwimu kutoka Hospitali Kuu ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH).

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected]; [email protected] au WhatsApp: 0732482690. Tufuate kwa Telegram: Tuko news.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...