Mwanamuziki Esther Wahome aomboleza kifo cha babake

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 29 July 2019.

Mwanamuziki Esther Wahome akiomboleza kifo cha babake, mzee William Wahome Gikonyo, aliyeaga dunia Jumamosi Julai 27, 2019, baada ya kuguswa na ugonjwa wa saratani.

Esther alisema ni huzuni mwingi kumpoteza mzazi, lakini Mungu alikuwa na sababu ya kumchukua.

Aliaga dunia baada ya kuugua kutokana na ugonjwa wa saratani kwa muda wa mwaka mmoja.

Esther alifichua kuwa babake ndiye aliyemfunza kuomba na hata kumsaidia katika kukuza talanta yake ya uimbaji.

Wasanii kadhaa wameomboleza kifo cha babake Esther na kutaka asife moyo wakati huu wa majonzi.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...