Skip to main content

Mbunge wa Ikolomani Benard Shinali Amefariki Marekani

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 27 July 2019.

Benard Shinali, mbunge wa Ikolomani, amefariki Marekani, Ijumaa, Julai 26, 2019, akiwa na umri wa miaka 35.

Alifariki akiwa katika kidimbwi cha kuongelea katika eneo la Arizona, huku familia yake ikijaribu kumuokoa mtoto.

Robert Ayisi, ndunguye wa Shinali na msemaji wa familia, alisema kwamba familia hiyo ilipokea taarifa ya kifo cha mwanao kutoka kwa jamaa yake ambaye alihudumu pamoja na Shinali katika jeshi.

"Tulipokea habari ya kuhusu kifo chake kutoka kwa jamaa wake ambaye wanahudumu pamoja katika jeshi. Masaka anaishi katika eneo la Illinois ila alisafiri Arizona kwa likizo na familia yake kabla ya kifo chake," Ayisi alisema.

Wabunge kadhaa kutoka kaunti ya Kakamega, ikiwemo seneta Cleophas Malala na mbunge wa Navakholo Emmanuel Wangwe, walizuru makazi ya mbunge huyo ili kutoa pole zao kwake.

Marehemu amemwacha mjane na watoto wawili.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →