Mwanamke wa Tunduimuni Alichukizwa na Kumuuza Mbuzi wa Mkewe

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 26 July 2019.

Kituo cha habari Tuko.co.ke liliripoti kuwa mwanamke wa Tunduimuni alijikuta mashakani baada ya mkewe kufunganya virago na kurejea kwao baada ya mumewe kumuuza mbuzi wake.

Penyenye zinaarifu kwamba mwanamke huyo alichukizwa na kuapa kutorejea katika ndoa hiyo na kushi na mume ambaye alisema hana bidii ya kutafuta mali.

Alipokuwa ameenda kuhudhuria mafunzo ya ukulima kwa muda wa siku tatu, mama huyo alipigwa na butwa kupata mbuzi wake hawapo.

Alikusanya kila kitu alichokuwa amenunua chumbani mwao na kurejea kwa wazazi wake.

Alisema kuwa ana bidii kama ya mchwa, lakini mumewe amezongwa na ulevi kazi ni kubugia tu.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...