Mbunge John Waluke Awaomba Msamaha Baada ya Matamshi ya Uchochezi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 23 July 2019.

Mbunge wa Sirisia John Waluke ameomba msamaha kwa jamii ya Waluo na wengine baada ya kutoa matamshi yaliyodaiwa kuwa ya uchochezi.

Waluke alijutia matamshi yake na kudai hakuwa na nia ya kumkwaza yeyote wala kusababisha mtafaruku katika jamii ya Waluo.

Alizungumza katika majengo ya bunge Jumanne Julai 23, Waluke alijutia matamshi yake na kudai hakuwa na nia ya kumkwaza yeyote wala kusababisha mtafaruku katika jamii ya Waluo.

Waluke alisema atafanya kila awezalo kuhakikisha kwamba Tuju anarejea kwa jamii yake ya Waluo ambayo haina mwelekeo.

Alipotakiwa kufika mbele ya Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa (NCIC), Alhamisi Julai 25 ili kuhojiwa kuhusu matamshi ya uchochezi, Waluke alijutia kutoa matamshi hayo na ameahidi kushirikiana na tume ya NCIC kwa vyovyote vile.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...