Skip to main content

Lulu Hassan na Rashid Abdalla: Couple ya Power watesa Mashabiki kwa Kukata Kiuno Kisasa

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 21 July 2019.

Julai 20, 2019, Lulu Hassan na mumewe Rashid Abdalla waliwatesa mashabiki wao baada ya kuwachilia kanda moja kwenye mitandao iliyowanasa wawili hao wakinengua kiuno kwa mitindo ya kisasa.

Wakati wa kufanya video hii, Lulu Hassan alivalia nguo nzuri lakini inayombana kwa wastani, na alingia kwenye stegi na kunengua kiuno huku wimbo maarufu wa Beenie Man akimshirikisha Natasja ukicheza.

Rashid Abdalla, kwa upande wake, alizidi kufisia huku pia akijaribu kuonyesha ustadi wake katika kukata densi.

Video hii iliwavutia sana wafuasi wa wawili hao na wengi hawakutaka ifike kikomo.

Wakati wengi wakidhani Lulu Hassan angebaki mpweke, Rashid Abdalla aliingia na kwa sasa wanaonekana kuwa na mvuto baina yao kazini.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →