Skip to main content

Binti ya Gavana Waititu Ateremshiwa Pete Katika Harusi Iliyoshuhudiwa na Mama Ngina na DP Ruto

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 20 July 2019.

Binti ya Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu, Njeri Ndungu, alivalishana pete na Dkt. Nyotu Gitau katika harusi iliyofanyika Jumamosi, Julai 20, 2019, katika Kanisa la Presbyterian East Africa (PCEA), Runda.

Harusi hiyo ilizungumziwa sana Ijumaa, Julai 19, 2019, baada ya kuibuka kuwa, baba mkwe alikuwa ametengea kazi kubwa Bw. Harusi mtarajiwa katika serikali ya kaunti.

Harusi hiyo ilifanyika Jumamosi, Julai 20, 2019, katika Kanisa la Presbyterian East Africa (PCEA), Runda kisha makaribisho yakafanyika katika Hoteli ya Windsor Golf.

Waandishi wa habari waliona wanasiasa na wafanyabiashara maarufu akiwamo Ngina Kenyatta, mke wa mwanzilishi wa taifa Mzee Jomo Kenyatta, na mwanawe Muhoho Kenyatta, wakati wa harusi hiyo.

Bi. Njeri Ndungu, alivalia gauni lake maridadi huku Bw. Harusi akipiga pamba iliyoshonwa vizuri mtindo wa 'tuxedo'.

Hatimaye, makaribisho kemkem yalifanyika katika Windsor Golf Hotel and Country club ambayo Mamlaka ya Mazingira nchini (NEMA) ilikuwa anaelekea kuifunga baada ya kupatikana ikitupa maji taka katika mazingira.

Waandishi wa habari waliona wanasiasa na wafanyabiashara maarufu akiwamo Ngina Kenyatta, mke wa mwanzilishi wa taifa Mzee Jomo Kenyatta, na mwanawe Muhoho Kenyatta, wakati wa harusi hiyo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →