Wakenya wampapura seneta Aaron Cheruiyot baada ya kumshambulia Kanze Dena

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 18 July 2019.

Seneta wa Kericho Aaron Cheruiyot alimshambulia kwa maneno makali hatibu wa Ikulu Kanze Dena kwa kinachodaiwa kujihusisha katika maswala ya chama cha Jubilee.

Matamshi ya Cheruiyot yalifuatia taarifa ya Ikulu iliyomtetea Katibu Mkuu wa Chama cha Jubilee Raphael Tuju baada ya Naibu Rais na washirika wake wa Tangatanga kumkosoa Tuju kuhusiana na fungamano zake na upinzani.

Cheruiyot alimtuhumu Dena kwa upotovu wa ustadi na akamhumiza ajitenge na maswala ya chama hicho.

Wakenya wengi walio kwenye mtandao walihisi kuwa matamshi ya Seneta Aaron Cheruiyot hayakustahili na walikuwa wepesi katika kumjibu Seneta huyo pamoja na kundi la Tangatanga kwa jumla.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...