Skip to main content

Uganda: Mhubiri Aloysius Bugingo Ameomba Msamaha Baada ya Kumuaibisha Mkewe

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 15 July 2019.

Uganda, Julai 15, 2019 - Mhubiri wa Uganda Aloysius Bugingo ameomba msamaha baada ya kumuaibisha mkewe kwa kiburi.

Alisema kuwa amekuwa akiishi na mkewe ambaye ana ugonjwa wa nasuri, huku akitumia fedha nyingi kununua pamba za kudhibiti hali.

Alisema kuwa amekuwa akiimba mkewe kwa kipindi cha miaka kumi tangu 2009, lakini sasa ameamua kumfukuza na kuoa tena.

Matamshi yake yaliwakera sana akina mama nchini humo, na wakaamua kumlima Bugingo.

"Naomba msamaha kwa akina mama wabunge, vikundi vya kijamii vinavyohusika na haki za kibinadamu na akina mama wote duniani, akiwemo Teddy," Bugingo alisema.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →