Machakos: Kioja Chashuhudiwa Mademu Wakipigania Sponsa

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 10 July 2019.

Kituo cha habari Tuko liliripoti kuwa kioja kilichowaacha wakaazi wa eneo la Mikuini, kaunti ya Machakos midomo wazi baada ya mwanadada kumfungia mwenzake chumbani na kumpa kichapo kwa kujaribu kumpokonya sponsa.

Allegations zinaonyesha kwamba kabla ya kisa hicho, vipusa hao walikuwa chanda na pete ila uhusiano huo ulikatika ghafla pale ambapo mwanadada aligundua mwenzake alikuwa akimvizia sponsa wake.

Alipofika mahali hapo, mwenye nyumba alidinda kumsalimia mwenzake, lakini kidosho alifunga mlango na akaanza kumtandika mwenzake huku akimlaumu kwa kujaribu kuingilia penzi lake na jamaa wake.

"Ni lazima utamkoma mpenzi wangu la si hivyo, nakuharibu sura leo leo," demu alimfokea mwenzake.

Wakati huo huo, majirani walifika mahali hapo na kumwokoa mwanadada huyo huku wakimsuta vikali.

Source: Tuko

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...