Rais Uhuru Kenyatta Amtaka Mwanawe Kuoa Mtanzania

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Primary source Kenyan Digest archive

This archive report was first published on 7 July 2019.

Julai 6, 2019 - Rais Uhuru Kenyatta alisema atamtuma mwanawe Tanzania ili atafute kipusa na kuoa.

Alisema hilo wakati wa ziara yake nchini Tanzania, ambapo alipokea tausi wawili na kuwasifia wananchi wa nchi hiyo jirani.

Uhuru alisema anataka mwanawe Jaba atafute mke huko na kuoa, na kuwataka rais Magufuli azuru Kenya hasa kijijini Ichaweri ambapo familia ya Kenyatta wanamiliki shamba na nyumba.

"Nafurahia sana vile mmenipokea kwa furaha na kwa moyo mkunjufu... alafu kijana wangu nitamwambia akuje atembee huku huenda akabahatika," Alisema Uhuru.

Uhuru alisema anataka rafiki yake Magufuli akuje kule, apikiwe na mama gwaci na githeri ili tujuane zaidi.

Alisema hilo wakati wa ziara yake nchini Tanzania, ambapo alipokea tausi wawili na kuwasifia wananchi wa nchi hiyo jirani.

Uhuru alisema anataka mwanawe Jaba atafute mke huko na kuoa, na kuwataka rais Magufuli azuru Kenya hasa kijijini Ichaweri ambapo familia ya Kenyatta wanamiliki shamba na nyumba.

Next read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim Exposed Over Refusal to Repay Ksh 2 Million Debt as Protest Looms at Talanta Plaza

24 July 2026 · 4 min read

Sports Fund CEO Nuh Ibrahim has been exposed over his refusal to repay a KSh2 million debt to a young businessman, with a peaceful...