This archive report was first published on 4 July 2019.
Madaktari Wanaogoma Wapewa Fursa ya Kuwafuta Kazi ¶
Alhamisi, Julai 4, 2019, Jaji Nzioki wa Makau wa Mahakama ya Ajira na Uhusiano wa Leba alisema Sheria ya Leba inawataka wahudumu wa afya kupeana hudumu muhimu.
Wahudumu wa afya walilalamika kuhusu uchafu, vifaa duni na mazingira mabaya ya kufanyia kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Kerugoya.
Wahudumu wa Afya Kaunti ya Kirinyaga wamekuwa wakigoma tangu Mei 20 kulalamikia uchafu, vifaa duni na mazingira mabaya ya kufanyia kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Kerugoya.
Wakili wa wahudumu hao, Wachika Ochima, alinyimwa nafasi ya kuzungumza baada ya kusema kwamba mgomo haukisitishwa kufuataia uamuzi wa jaji Maureen Onyango mnamo Mei 26.