Skip to main content

8 Wakamatwa Katika Kioti Uchwara Cha Kutengeneza Pombe Haramu

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 2 July 2019.

Oparesheni ya polisi ilifanywa jijini Nairobi na ilikuwa na lengo la kukamatwa watengenezaji pombe haramu.

Wakati wa oparesheni hiyo, makatoni kadhaa ya pombe kali iliyokuwa imepakiwa yalinaswa na maafisa wa polisi.

Waliokamatwa ni; Stephen Wambugu, David Chui, Salome Wanjiru, Wilikister Kemunto, John Mwangi, Daniel Maigwa, Zacharia Macharia na Peter Maina ingawa polisi wanamsaka mmiliki wa kiwanda hicho.

Uchunguzi zaidi unaendelea ili kuhakikisha wananchi hawapati madhara kutokana na bidhaa za aina hii.

Published on July 2, 2019 by Tuko.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →